Heri yakeeee ,kwa hiyo sasa atakua na kakumpoza tu,
ana mwili mzurii sasa shoga ako wema hajazaa yupo hivyo akizaa je michiriz itakua mpaka usoni na kuzeeka kwa sana

Alikuwa mzuri akajiharibu na Caro light atajujua mwenyewe manake nishampenda hadi nikaitwa zamaradi na akina ganchong na Matola ila hapendeki kila siku kuna jipya

Wewe nakwambiaga unapenda umbea ila vitendea kazi huna, kuna Moet Hennesy na Moet shampeni mwaka jana mimi niliuziwa kwa sh 45,000/= sijui kwa sasa maana mimi ni mtu wa bia hiyo niliagiza kwa ajili ya mtu maalum.