Jana mwenzio si nilikuwa napita barabaran binamu yako nishaulamba utanijua kuwa ndo cha umbea aliyeshindikana? Basi bhana kwa mbele nikakaona kademu kamekaa peke yake si nikasema nimeokota embe dodo, sasa ile nakaribia nikaanza kubadilisha miondoko na swaga ili demu anikubal kufika karibu kumbe yule demu ni mtambo bwana, nati zilishakatika, yakanishukaje
Kuna movie naangalia inaitwa Notorious,imeonyesha BIG hakumuua Tupac,inasikitishajeeee lo mi nilikua nampenda Tupac anavyoimba bana Viol njoo basi unisimulie
Halaf BIG alikua kitombi nae