Sijui tutaponea wapi, haya tunaomba apatikane mwehu huyo.Toka kwa mama yangu Heriety Chumira, Habarini za asubuhi wapendwa wangu? Huyu kaka anaitwa Zuberi Auli Zuberi, binti yangu jana jioni saa 12 alirequest bolt kutoka Yombo kwenda Kinyerezi, unaporequest inatokea picha na namba ya dereva kwa bahati nzuri binti yangu alimfananisha dereva na kaka wa rafiki yake hivyo akasrceen shoti hiyo picha na kumtumia rafiki yakr kumuuliza kama huyo ni kaka yake, kumbe ni Mungu tu alitaka picha ya kaka awe nayo, walivyofika mitaa sitakishari akawa anampitisha njia za vichochoroni hali imliyomtia wasiwasi binti yangu na kumuuliza kulikoni wanapita njia za ndani ndani wakati barabarani hakuna foleni dereva akadai anaogopa traffic kwakuwa hana leseni, kufika mbele kidogo akazima gari na kusema anahisi mafuta yameisha binti yangu akaanza kupata wasiwasi na kumuuliza dereva kulikoni lakini akamwambia binti yangu ashuke asukume hili ikiwaka wafike barabarani kuna petrol station baada ya binti yangu kushuka dereva aliwasha gari akaondoka ndani kukiwa na pochi yenye oesa, simu mbili vitambulisho vya benki ya CRDB, NMB, Kitambulisho cha Taifa chake na cha binti yake na documents mbalimbali. Amefungua kesi STK/RB/9567/3921 kituo cha polisi sitaki shari Heriety Chumira] @jenniferkyaka @wema_emily @halimayahyaView attachment 1961322
Mmeripoti Bolt?Toka kwa mama yangu Heriety Chumira, Habarini za asubuhi wapendwa wangu? Huyu kaka anaitwa Zuberi Auli Zuberi, binti yangu jana jioni saa 12 alirequest bolt kutoka Yombo kwenda Kinyerezi, unaporequest inatokea picha na namba ya dereva kwa bahati nzuri binti yangu alimfananisha dereva na kaka wa rafiki yake hivyo akasrceen shoti hiyo picha na kumtumia rafiki yakr kumuuliza kama huyo ni kaka yake, kumbe ni Mungu tu alitaka picha ya kaka awe nayo, walivyofika mitaa sitakishari akawa anampitisha njia za vichochoroni hali imliyomtia wasiwasi binti yangu na kumuuliza kulikoni wanapita njia za ndani ndani wakati barabarani hakuna foleni dereva akadai anaogopa traffic kwakuwa hana leseni, kufika mbele kidogo akazima gari na kusema anahisi mafuta yameisha binti yangu akaanza kupata wasiwasi na kumuuliza dereva kulikoni lakini akamwambia binti yangu ashuke asukume hili ikiwaka wafike barabarani kuna petrol station baada ya binti yangu kushuka dereva aliwasha gari akaondoka ndani kukiwa na pochi yenye oesa, simu mbili vitambulisho vya benki ya CRDB, NMB, Kitambulisho cha Taifa chake na cha binti yake na documents mbalimbali. Amefungua kesi STK/RB/9567/3921 kituo cha polisi sitaki shari Heriety Chumira] @jenniferkyaka @wema_emily @halimayahyaView attachment 1961322
Wabongo uaminigu 0Toka kwa mama yangu Heriety Chumira, Habarini za asubuhi wapendwa wangu? Huyu kaka anaitwa Zuberi Auli Zuberi, binti yangu jana jioni saa 12 alirequest bolt kutoka Yombo kwenda Kinyerezi, unaporequest inatokea picha na namba ya dereva kwa bahati nzuri binti yangu alimfananisha dereva na kaka wa rafiki yake hivyo akasrceen shoti hiyo picha na kumtumia rafiki yakr kumuuliza kama huyo ni kaka yake, kumbe ni Mungu tu alitaka picha ya kaka awe nayo, walivyofika mitaa sitakishari akawa anampitisha njia za vichochoroni hali imliyomtia wasiwasi binti yangu na kumuuliza kulikoni wanapita njia za ndani ndani wakati barabarani hakuna foleni dereva akadai anaogopa traffic kwakuwa hana leseni, kufika mbele kidogo akazima gari na kusema anahisi mafuta yameisha binti yangu akaanza kupata wasiwasi na kumuuliza dereva kulikoni lakini akamwambia binti yangu ashuke asukume hili ikiwaka wafike barabarani kuna petrol station baada ya binti yangu kushuka dereva aliwasha gari akaondoka ndani kukiwa na pochi yenye oesa, simu mbili vitambulisho vya benki ya CRDB, NMB, Kitambulisho cha Taifa chake na cha binti yake na documents mbalimbali. Amefungua kesi STK/RB/9567/3921 kituo cha polisi sitaki shari Heriety Chumira] @jenniferkyaka @wema_emily @halimayahyaView attachment 1961322
Kampuni ya uber ni salama zaidi kuliko bolt nakushauri tumia uberSijui tutaponea wapi, haya tunaomba apatikane mwehu huyo.
Mimi ni muoga kupitiliza labda tuwe zaidi ya mmoja kwenye gari la sivyo ntashika tu bomba kwenye daladala...Kampuni ya uber ni salama zaidi kuliko bolt nakushauri tumia uber
Swali muhimu...Kuna wizi unafanyika siku hizi... wezi wanazunguka na magari wakikuona umesimama mkao wa kuita Uber au hizo Bolt wanajifanya ndio wao umewaita...wanafanya hivi sababu wanajua kuna watu hawako makini kwenye kuverify usahihi wa dereva au aina ya gari. Sasa ukipanda tu gari ndio unakutana na haya yaliyompata huyo mhusika wa huu wizi. Ndio maana nikauliza kabla ya kushtaki polisi je mliwasiliana na Bolt kujua kama wanamtambua huyo Dereva?
Uber siyo easy kuwa manipulated lakini bolt ni rahisi unaweza uibiwe na dereva bolt na usimpate compared na uberMimi ni muoga kupitiliza labda tuwe zaidi ya mmoja kwenye gari la sivyo ntashika tu bomba kwenye daladala...
Doesn't make sense! Ndio maana wanatuma na picha ya dereva kuepuka ujinga huo!Kuna wizi unafanyika siku hizi... wezi wanazunguka na magari wakikuona umesimama mkao wa kuita Uber au hizo Bolt wanajifanya ndio wao umewaita...wanafanya hivi sababu wanajua kuna watu hawako makini kwenye kuverify usahihi wa dereva au aina ya gari. Sasa ukipanda tu gari ndio unakutana na haya yaliyompata huyo mhusika wa huu wizi. Ndio maana nikauliza kabla ya kushtaki polisi je mliwasiliana na Bolt kujua kama wanamtambua huyo Dereva?
Kama umesoma vizuri nilichoandika na umeelewa basi utaelewa pia nilichomaanisha. Ni wizi unafanyika sana haswa usiku kwenye maeneo ya starehe. Unaita isafiri lakini cha ajabu inakuja gari nyingine kabisaa kunifamya yenyewe ndio umeiita sasa hapo usipokagua tu imekula kwako. Nimeshuhidia wengi wamelizwa kwa hii style.Doesn't make sense! Ndio maana wanatuma na picha ya dereva kuepuka ujinga huo!