Wizi washamili nchini Rwanda

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,481
Reaction score
1,450



Pale unapoamka na kukuta wajomba wamechukua wanachokitaka. Hasa kama una Flat TV, ujue hiyo si mali yako, watunzie wenyewe siku wakihitaji wataijia.

Uzuri ukitoa taarifa mapema na ukawa na kielelezo chochote cha umiliki, mali yako hata kama ni baada ya mwaka itapatikana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…