jaffari yogo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 685
- 148
Nimeishawaeleza lakini wengi wanakuwa wagumu wa kuelewa.Zifungeni chip hizo pikipiki zikiibiwa unajua zilipo kupitia mfumo wa GPS
Hiyo chip naweza kumfungia mke wangu ili iwe rahisi kum truck.Kuna chip kama laini ya simu zinaunganishwa kupitia internet unafunga kwenye kitu chako chochote chenye thamani mfano begi,gari,pikipiki,TV,simu,laptop, mifugo,nk kikiibiwa au kupotea ni rahisi kukifatilia kupitia mifumo ya mawasiliano ili kumpata mwizi sababu kinakuwa kimefichwa sehemu asiyoweza kugundua na ujuavo tukio LA wizi huwa halizidi dakika 20.Kuna kampuni zinazofunga chip hizo mfano Car track, sido DSM kuna ukiulizia kuna MTU anafunga system hio.
Hivi hizo chip bei yake ni kiasi gani kuifunga,Kuna chip kama laini ya simu zinaunganishwa kupitia internet unafunga kwenye kitu chako chochote chenye thamani mfano begi,gari,pikipiki,TV,simu,laptop, mifugo,nk kikiibiwa au kupotea ni rahisi kukifatilia kupitia mifumo ya mawasiliano ili kumpata mwizi sababu kinakuwa kimefichwa sehemu asiyoweza kugundua na ujuavo tukio LA wizi huwa halizidi dakika 20.Kuna kampuni zinazofunga chip hizo mfano Car track, sido DSM kuna ukiulizia kuna MTU anafunga system hizo za kuzuia wizi wa bodaboda.
Naona unatafuta sababu ya kumuacha mkeo mkuu..... Haya endeleaa..Hiyo chip naweza kumfungia mke wangu ili iwe rahisi kum truck.
hizo ni gps tracker, nitakufungia inabidi uwe na simu bei ni laki 2 na laki 3, nicheki kwenye namba 0714890018 au email info@isecure.co.tztoeni maelezo basi ya kutosha sasa mtu akisema kuna chipi kuna chip haisaiidii wekeni taarifa ofisi za hao jamaa ziko wapi bei ikoje na ukifungiwa unatakiwa uwe na kitu gani cha kukupa muongozo wa kufuatilia?
Duh! Hiyo bei mbona iko juu kiongozi?hizo ni gps tracker, nitakufungia inabidi uwe na simu bei ni laki 2 na laki 3, nicheki kwenye namba 0714890018 au email info@isecure.co.tz
hizo ni bei za chini kabisa kwenye soko, ukienda makampuni mengine bei ni kubwa sana na gharama ya kuhudumia kifaa inaweza fika mara tano ya bei hiyo kwa mwaka.Duh! Hiyo bei mbona iko juu kiongozi?
hizo ni bei za chini kabisa kwenye soko, ukienda makampuni mengine bei ni kubwa sana na gharama ya kuhudumia kifaa inaweza fika mara tano ya bei hiyo kwa mwaka.
Inawezekana, ila uweke kwenye kitu. Kwa mkeo nashauri mnunulie simu kali yenye chip ambayo iko connected na mfumo huo. Jiandae kwa pressure na mambo kama hayo. Pole sanaHiyo chip naweza kumfungia mke wangu ili iwe rahisi kum truck.
Bei zinatofautiana kulingana na mtoa huduma na kumbuka kuna malipo ya kila mwezi kama king'amuzi tu..Chip zenyewe ni hizihizi kama za simu zetu hizihiziHivi hizo chip bei yake ni kiasi gani kuifunga,
Na kwa watu wa mikoani wanaweza kuzipataje maana kama huyo aliyeibiwa yupo bunda
Nipe jina la hiyo simu.Inawezekana, ila uweke kwenye kitu. Kwa mkeo nashauri mnunulie simu kali yenye chip ambayo iko connected na mfumo huo. Jiandae kwa pressure na mambo kama hayo. Pole sana
πππππππππHiyo chip naweza kumfungia mke wangu ili iwe rahisi kum truck.
bei nafuu kabisa na naamini hiyo ni bila VAT na baada ya hapo kuna monthly subscription fee. King'amuzi hichoDuh! Hiyo bei mbona iko juu kiongozi?
Sh.ngap zinauzwa hizo chip mkuu?Kuna chip kama laini ya simu zinaunganishwa kupitia internet unafunga kwenye kitu chako chochote chenye thamani mfano begi,gari,pikipiki,TV,simu,laptop, mifugo,nk kikiibiwa au kupotea ni rahisi kukifatilia kupitia mifumo ya mawasiliano ili kumpata mwizi sababu kinakuwa kimefichwa sehemu asiyoweza kugundua na ujuavo tukio LA wizi huwa halizidi dakika 20.Kuna kampuni zinazofunga chip hizo mfano Car track, sido DSM kuna ukiulizia kuna MTU anafunga system hizo za kuzuia wizi wa bodaboda.
Mlishe iyo chipHiyo chip naweza kumfungia mke wangu ili iwe rahisi kum truck.