Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,103
Pole sema wew kuna mtu wako hapo nyumbani ndio kakupigaImeshangasha Pesa imeweza kuhamishwa kutola kwenye namba yangu ya YAS bila mimi kujua au kuona meseji.
Imenishangaza kwasababu nimeigundua baada ya kuangalia statement kwenye Yas app na kuona nimetuma hela mara tatu kiasi cha laki 3 kwa watu nisiyowafahamu.
Hakuna msaada kutoka Yas wanasema nichukue hatua za kisheria.
Huenda technolojia imekuwa zaidi au pesa zetu haziko salama kwenye mitandao.
Kama watu wanaweza kuhamisha pesa kutoka kwenye simu hii ni hatari sana
Simu yangu ninakaa nayo mwenyewe na hakuna aliyeishika kwakuwa ina password ya fingerprint.
Ninaposema hakuna namaanisha hakuna, mimi ninaishi peke yangu na simu yangu haiingiliki.Pole sema wew kuna mtu wako hapo nyumbani ndio kakupiga
Pole sana mkuuImeshangasha Pesa imeweza kuhamishwa kutola kwenye namba yangu ya YAS bila mimi kujua au kuona meseji.
Imenishangaza kwasababu nimeigundua baada ya kuangalia statement kwenye Yas app na kuona nimetuma hela mara tatu kiasi cha laki 3 kwa watu nisiyowafahamu.
Hakuna msaada kutoka Yas wanasema nichukue hatua za kisheria.
Huenda technolojia imekuwa zaidi au pesa zetu haziko salama kwenye mitandao.
Kama watu wanaweza kuhamisha pesa kutoka kwenye simu hii ni hatari sana
Simu yangu ninakaa nayo mwenyewe na hakuna aliyeishika kwakuwa ina password ya fingerprint.
Hakuna muamala nimeona kwenye statement yao baada ya kushangaa pesa haipoJe uko na mwamala kama kumbukumbu ya PESA?
Kazi ni kipimo cha utu
Wew fanya mpango nenda kwenye ofisi za yas wakupe maelezo ela imeenda wap na sangap?.hiyo ela ni yingi sana usiache upotee tu bora upoteze muda tuuNinaposema hakuna namaanisha hakuna, mimi ninaishi peke yangu na simu yangu haiingiliki.
Kuna mchezo unachezwa kwasababu wote waliotumiwa hela tayari namba zao hazipatikani
Nimeenda hawana la kunisaidia wameniambia hela ilikoenda ila wamesema nifuate utaratibu wa kisheria kuanzia PolisiWew fanya mpango nenda kwenye ofisi za yas wakupe maelezo ela imeenda wap na sangap?.hiyo ela ni yingi sana usiache upotee tu bora upoteze muda tuu
Daaah! Polisi hapo kuna mzunguko sema nenda tu.lakn mzunguko utakuwa ni mkubwa sanaNimeenda hawana la kunisaidia wameniambia hela ilikoenda ila wamesema nifuate utaratibu wa kisheria kuanzia Polisi
Na mimi nimeona laki tatu haiwezi kunizungusha hivyo ila ni kuwa makini na YASDaaah! Polisi hapo kuna mzunguko sema nenda tu.lakn mzunguko utakuwa ni mkubwa sana
Na ndio nimesajili hiyo line jana hadi umeniogopesha😂Na mimi nimeona laki tatu haiwezi kunizungusha hivyo ila ni kuwa makini na YAS
Soma salio mara kwa mara kama MuhindiNa ndio nimesajili hiyo line jana hadi umeniogopesha😂
Yaani pale uliposajili ndio mchezo unaanzia hapoNa mimi nimeona laki tatu haiwezi kunizungusha hivyo ila ni kuwa makini na YAS
Daaah! ngoja ni🏃➡️🏃➡️🏃➡️🏃➡️Yaani pale uliposajili ndio mchezo unaanzia hapo