Hakika tunapitia kipindi kigumu ,yaani kila siku afadhali ya jana.
Vifurushi vinapanda kila muda hadi nashindwa kuelewa majukumu ya TCRA .
Nimenunua kifurushi cha voda tena cha chuo haya ndio nimekutana nayo
Waziri mwenye mamlaka husika ameshasema kama unachoahidiwa wakati unanunua kifurushi sicho unachokipata basi utakuwa na haki ya kusema umefanyiwa wizi, vinginevyo uktakuwa unafanya upotoshaji🐒
Vifurushi vyao vinabadilika badilika ndani ya kipindi kifupi pasipokuwa na sababu za. msingi ina maana hakuna mamlaka inayosimamia hizi kampuni? Basi tutegemee kesho kampuni X ikija na vifurushi vyake.
Hapa tunaoumia ni sisi wa kipato cha chini
Hakika tunapitia kipindi kigumu ,yaani kila siku afadhali ya jana.
Vifurushi vinapanda kila muda hadi nashindwa kuelewa majukumu ya TCRA .
Nimenunua kifurushi cha voda tena cha chuo haya ndio nimekutana nayoView attachment 2308756