KERO Wizi wa mamlaka za maji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

paqwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
2,335
Reaction score
3,131
Kumekuwa na hujuma za makusudi za kupandisha bili za maji za watu. Kwa kudhibitisha, asilimia kubwa ya watu bill zao za mwezi wa November zipo juu bila sababu za msingi , je ni serikali inatafuta pesa kwa nguvu ama? We malalamiko tujuane.
 
Hawa watu wa Mamlaka za Maji walishaanza Wizi tangu mwaka jana, na Serikali inawaangalia tu

Iundwe tume ya kuchunguza chanzo cha kupandisha bili ya maji😂
 
Hivi serikali haramu iliyopora uchaguzi na kujisimika madarakani,ikauwa watu elfu 23 plus,ikawafukiwa kama mizoga ya ng'ombe iliyokufa na outbreak ya anthrax,ikatapeli uhai wa vijana na ikatapeli nafasi ya watu kupata miili ya wapendwa wao,ikakamata vijana na kuwapa tuhuma za ugaidi,na bado inateka vijana kwa kuwanyakua kama mwewe anyakuavyo vifaranga vya kuku,je serikali hii haramu itashindwa kupora bili zenu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…