Nitawalaumu wabunge wa CCM milele kwa kushangalia kila kitu bila kuangalia maslahi ya nchi. Wapinzani wakitoa maoni hata kama ni maoni mazuri kwa sababu basi maoni ni ya upinzani yanaonekana ujinga.
Walaumiwe milele. Kwa wingi wao wangekuwa wanaangalia maslahi ya nchi haya yote yasingeyokea.