Sawa mkuu, ila omba usipaywe ndio utajua, off course haijanikuta mimi bali rafiki yangu alafu sio rafiki mshamba mshamba au zwazwa kama unavyo sema, lakini aiku ya siku amepatikana
Siwezi kuibiwa kihivyo mkuu kwasababu kila siku makampuni ya simu yanasema usimpe yanaelimisha jinsi ya kuepuka na utapeli wa namna hiyo.
Atakayenitapeli either anikabe roba au atumie madawa. Otherwise sitapeliki kwa manano ya kuvutia!