Inasikitisha sana kwakweli, mtu umejiwekea vijisent vyako alafu mtu anavikwapua na hupati msaada wowoteNdugu Yangu,
Hiki ni kipindi cha kuishi kwa akili sana.
Yaani mwili wako uulazimishe kuwa na akili nyingi kuliko damu yako.
Wizi Wa kila namna umekolea kwa sasa.
Viongozi wakubwa ndiyo wenye hiyo mitandao unayosema.
Pole sana mkubwa tena January hii ilivyo ngumu. Vumilia kaka hiyo ndiyo Elimu Dunia huipati shule.Inasikitisha sana kwakweli, mtu umejiwekea vijisent vyako alafu mtu anavikwapua na hupati msaada wowote
Sab, niaje ndugu Yangu!Inasikitisha sana kwakweli, mtu umejiwekea vijisent vyako alafu mtu anavikwapua na hupati msaada wowote
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukiibiwa hivyo!.. wewe boya...
Baadae ya hapo unaamua kuwasiliana na kampuni yako ya siku kitengo cha huduma kwa wateja , unawaeleza issue ilivyo kuwa yote, wanakwambia pesa ulizo tuma zimesha tolewa na hawana uwezo wakukusaidia zaidi,
Sasa nauliza je hiii ni sahihi kweli ?
Inamaana hizi kampuni zinaendesha hii biashara bila bima ?
Ukiibiwa hivyo!.. wewe boya...
😀😀😀😀😀Ni mazwazwa pekee wanatapeliwa kwa mtindo huo
Ndio nashangaa yaani , maana kama mtu anaiba alafu eti hakuna hatua yoyote yakuchukuliwa pamoja na taasisi zote hizi , ni shidaaKuna kipindi walikuwa wanatangaza redioni kuwa kuna baraza la watumiaji wa mobile money waliishia wapi au nao walirudi kuungana na hao wezi baada ya kuona kupigania wahanga haiwalipi
Ndugu, haya wajamaa wana style zaidi ya hizo ulizo mention hapoKinachowaponza watu wengi ni tamaa na si kingine, mara nyingi hudanganywa kuwa wamezawadiwa/wameshinda kiasi fulani (unashinda vipi bila kushiriki?! Huu ni upumbavu) hivyo ku-claim zawadi yako ndio hukupa maelekezo yao ya kitapeli.
Mkuu, wala sio style hiyo , mwanzo rafiki yangu aliponieleza ametapeliwa pesa zake nilifikiri hivyo kama wewe , lakini baada ya kunieleza kwa upana wake ndio nikaelewa haikiwa tamaa kama nilivyo dhania mimi, basi wakachukua vi sent vyakeLawama nyingine hazina maana kwani tatizo ni wewe mwenyewe kuendekeza tamaa na kupenda vya dezo.