Mapondo Mapoka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 274
- 135
Kufuatia hali ya kisiasa ilivyoshamiri mwaka huu kiasi cha kupelekea CCM kupoteza viongozi na wanachama wao wengi,nadhani wanajipanga sana kashinda hata kwa njia za wizi.
Unadhani hii njia mpya ya upigaji kura(BVR) haitaruhusu mwanya kirahisi ktk kuiba kura?
Toa maoni yako
Unadhani hii njia mpya ya upigaji kura(BVR) haitaruhusu mwanya kirahisi ktk kuiba kura?
Toa maoni yako