Wizi wa karne Paraguay: Zaidi ya Bilioni 90 (40$ M) zaporwa kibabe na majambazi 50 mchana kweupe

Mkuu kumbe tukio limepigwa tu 25 April 2017 juzi jumanne, bado mapema sana watapatikana tu ndo kwanza leo cku ya 2
 
Lakini kumbuka inasadikika kuwa waliofanya tukio ni magenge ya madawa ya kulevya na mihadarati, tena yamekubuhuu kwa mapambano maana kuna report moja imesema kuwa waliofanya hivyo walijiunga pamoja gerezani Brazil wakatengeneza kikosi chao cha kazi toka huko huko gerezani.
Hiyo sio tabia "modus uperandi" ya wauza unga kupora fedha .....na kama ni kweli hayo ni mauza unga basi yamechoka .....kifedha
 
Back
Top Bottom