Kuna mtindo mwingine abiria anawaset wenzie wakatege sehem atakayopitia then wakishafika eneo hilo huyu abiria (jizi) huangusha either kofia,au ndala,au chochote kile na humsimamisha dreva kwmba asimame amedondosha kitu na anapokifata muda huo dreva huwa amesimama anamsubiri abilia wake aokote kitu ili waje kuendelea na safari,Hapo ndo mission inapoanza kwn wale majizi waliojificha eneo hilo hutokea na kumweka chini ya ulinzi huyo bodaboda na wakat mwngne kumsurubu vyakutosha na baadae hutokomea na pikipiki kusikojulikana, ziko mbinu nyingi sana nkipata muda ntazipost