helena mgomu
Member
- Sep 19, 2022
- 17
- 14
Wangeitaka gari wangeondoka nayo, shida yao ni hiyo betri tu.Habari
Naomba mnisaidie kinielewesha,usiku wa Leo nimeibiwa betri ya Gari, na nilikua nimefunga milango nashidwa kuelewa Kuna njia nyingine ya kufungua boneti Kwa nje jmn maana sijawah kujua hili
Na ndani ya gari kulikuwa na hela na nimezikuta ,hii inanifanya nijue ndani ya gari hawakuingia!
Camera itasaidia nini asiibiwe?Wangeitaka gari wangeondoka nayo, shida yao ni hiyo betri tu.
Au wangekuachia gari iko uchi wangetowa power window, wangechukuwa taa zote, hapo washukuru kwa hilo.
Kama hapo ni nyumbani kwako funga camera ndio solution ya kuwakomesha hawa mbwa.
Asante ,ila naomba kujua kumbe inawezekana kbs mtu kufanya hvyo hvyo hata km gari imefungwa?maana nimeingia wasiwas isije kua funguo zinaingiliana siku wakaja wakaondoka nayo!Wangeitaka gari wangeondoka nayo, shida yao ni hiyo betri tu.
Au wangekuachia gari iko uchi wangetowa power window, wangechukuwa taa zote, hapo washukuru kwa hilo.
Kama hapo ni nyumbani kwako funga camera ndio solution ya kuwakomesha hawa mbwa.
Wana namna ya kupachua bonnet bila kuingia ndani ya gariHabari
Naomba mnisaidie kinielewesha,usiku wa Leo nimeibiwa betri ya Gari, na nilikua nimefunga milango nashidwa kuelewa Kuna njia nyingine ya kufungua boneti Kwa nje jmn maana sijawah kujua hili
Na ndani ya gari kulikuwa na hela na nimezikuta ,hii inanifanya nijue ndani ya gari hawakuingia!
Hiyo wana namna ya ku disable pia kuna solar alarm za nje ambazo hupiga kelele hata kabla hajaikaribia gariMkuu Kwann usiwek ata alarm system Gari yako kidogo husaidia kukibiza vbaka wadogo kama hao
Hujajibu swali lake,halafu camera haisadii chochote zaidi ya kuzalisha usumbufu wa kumtafuta mtu asiyejulikanaWangeitaka gari wangeondoka nayo, shida yao ni hiyo betri tu.
Au wangekuachia gari iko uchi wangetowa power window, wangechukuwa taa zote, hapo washukuru kwa hilo.
Kama hapo ni nyumbani kwako funga camera ndio solution ya kuwakomesha hawa mbwa.
yah inawezekana hasa kama show ya kwenye bonet haijafungwa vizuri iko weak au ina matundu makubwaHabari
Naomba mnisaidie kinielewesha,usiku wa Leo nimeibiwa betri ya Gari, na nilikua nimefunga milango nashidwa kuelewa Kuna njia nyingine ya kufungua boneti Kwa nje jmn maana sijawah kujua hili
Na ndani ya gari kulikuwa na hela na nimezikuta ,hii inanifanya nijue ndani ya gari hawakuingia!
Hiyo wana namna ya ku disable pia kuna solar alarm za nje ambazo hupiga kelele hata kabla hajaikaribia gari
Ku disable alarm si kazi kubwa ni kuwa na kipande sumaku chenye nguvu kuliko sumaku ya alarm, hiyo unainasisha kwenye body ya gari... Hapo alarm haiwezi kufanya kazi tenaMwiz wa ku disable alarm kwaajir ya betri sizan kama wale wanaofata gari kuiba au spea muhm wanaweza angaika hvyoo ,
Awez kuw na ujanja hvyo then aibe kitu ya lak had lak 2
Yaaah ni kwel,Pole sana
Waliokuibia wanakujua walikuchorea ramani kabla ya kukuibia
Hyo alarm bei ganiMkuu Kwann usiwek ata alarm system Gari yako kidogo husaidia kukibiza vbaka wadogo kama hao
Masheikh wataalamu hawa.Wana namna ya kupachua bonnet bila kuingia ndani ya gari