Ni wizi wa waziwazi Rais Samia tuma tume na iongozwe na CAG Mstaafu Professor Assad na Utouh. Rais jiepushe na Huyo Bwana Waziri Madereva. Ni mwiziiii.
Kuna kiongozi aliwahi kusema mkubwa Fulani anawaleta wachezaji wenye majina makubwa kwa kutumia pesa yake, Sasa sijui Huwa analipwa kiasi gani, pengine ndio hizo hizo za mgao.