Ukinunua internet bundle kutoka Tigo pesa kwenda kwenye Tigo moderm ujue utakuwa! Hupati huduma kwa masaa 24 ukinunua package kwa siku Ni baada ya saa moja na nusu utaambiwa umenakiwa na Mb 5 na kuanzia hapo net inakata!
Mbaya zaidi ukiwapigia customer service hawapokei simu yako zaidi ya ule ujumbe uliorekodiwa ukikujulisha simu yako inashughulikiwa. Huu Ni wizi, nalipia huduma nisiyopata 100%!

hawa jamaa ni wakundu sana.
Unajiunga kifurushi cha chuo mara mbili mb 1000 ukiingia utube dakika tano sms,ndugu mteja umebakiwa na mb 5.
Ni kweli kabisaa
Mbona mnalia lia sana kwani mmeshikiwa bastola? Njoon Zantel ofa wanazonipa mpaka nahis kama nawaibia,, msiniulize ofa zipi wasije wakashtuka bure.
mkuu mimi natumia ofa za zantel sikuizi siweki ata senti full kuperuzi jf
Ahahahaha unatoa siri sio?