Mkuu inaonyesha matumizi yako ya internet ni madogo sana. Kwa sisi wapenzi wa movies,series na vinginevyo mfano wa hivyo MB 400 it is very small package. Kwa ufupi ni kwamba hii package ya MB 400 for Tsh. 2,500/= ni for light users. Nilishaitumia kipindi cha nyuma lakini nimeona hainifai, ndani ya nusu saa tu nimeshazimaliza hizo MB 400.
Kwa sasa niko tigo na package zao for standard users, at least i am confortable now.