siku hizi kila demu unaemtokea ukimuuliza una mtu anakataa anakujibu nilikua nae ila tumeachana sitaki hata kumuona kumbe anataka aongeze mpz mwingine tu wala hajaachwa,WIZI MTUUUUP ACHEN HZO UKIMWI UPO NA UNAUA

Kaka sasa wewe umeenda kumtongoza ukijua yuko na fulani sasa ulitaka akujibuje..Zamani walikuwa wanavaa hata pete za ndoa wakidai kuwa wanapunguza foleni au utasikia mimi mchumba wangu yupo masomoni..baada ya muda pete inatoka taratibu inafichwa mbali hata huioni tena..Sasa baada ya kuona hiyo fasheni inawaweka kweli mbali na wanaume sasa wamekuja na style ya ukweli kuwa hana ..sasa nini unalalamika boss..we endelea hutakiwi kujua kama kiti kilishawahi kukaliwa wewe chukulia wewe ndio kwanza umekifungua makaratasi basssssssssss