masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,382
- 19,290
Iko unachosema wala si kweli,,itakuwa laini yako hujaipandisha,,uenda mwisho WA muamala kwa laini yako kwa siku Ni milioni,,sasa kiasi unachotaka kutuma kinazidi muamala wako kwa siku,,mi sasaivi hapa nimemtumia mtu milioni mbili Na imeenda Na kwenye simu imebakia M.2.5...voda Ni mtandao bora Na salama kwa hp tz,,,aswa kwetu sisi wafanyabiashara wa Kati.
haki ya mungu tena wewe jamaa ni muhaya
Iko unachosema wala si kweli,,itakuwa laini yako hujaipandisha,,uenda mwisho WA muamala kwa laini yako kwa siku Ni milioni,,sasa kiasi unachotaka kutuma kinazidi muamala wako kwa siku,,mi sasaivi hapa nimemtumia mtu milioni mbili Na imeenda Na kwenye simu imebakia M.2.5...voda Ni mtandao bora Na salama kwa hp tz,,,aswa kwetu sisi wafanyabiashara wa Kati.
Wanataka uombe kule customer care ili ukitoa 100000/= wao wajilambie hiyo 400000/= iliyobaki kiulainiii. Jamani Tz tumepigika hata hatusikii uchungu tena.
Jamani voda ni noma balaa. Nafikir kuna watu wananufaika sana hela zetu. Cku hizi hata ukinunua vocha ukichelewa kuunga imekula kwako huikuti. Kununua luku ndo balaa wanachelewesha respond ya msg hadi uwatwangie. Kweli wanastajili kushtakiwa.
.. vodacom wanajifanya vichwa vigumu lawama zote wanazopewa humu jf lakini bado wanadindisha
ni kweli wezi mie nilijiunga bundle la wiki ilitakiwa liishe jnne sasa tokea mei mosi mchana internet ikazingua kwa simu yangu ila kwa wengine iko poa nikajua simu yangu nikichek bundle lipo sasa leo nikajaribu kuweka vocha ya buku net ikarudi nikajua nina bundle langu kwa sekunde nachek salio zero wameiba ile buku nikajua ni ule uwizi wao kawaida ila una mwisho ina maana lile bundle nililojiunga last week wamelibatilisha.