kinjekitile70
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 1,071
- 1,428
Wakuu kama kichwa kielezavyo, nipende kujikita hasa kwenye mada husika
Mara mbili mfululizo nimepokea sms kutoka kwa watu wawili tofauti ambayo siko na namba zao na sijawahi kuweka nao ahadi zozote za mihamala
Kitu cha ajabu ni kwamba namba zao hazipatikani na sms hawajibu
Rai
Kwani wahusika wa kawaadabisha hawa wezi nani anapaswa kuwashughulikiaaa????