bysange
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 4,456
- 1,565
Napenda kwanza kuwasalimu ndg zangu wa jf kila mmoja kwa imani yake.
Hawa nmb wanahuduma kadhaa wa kadhaa kwa ajili ya wateja wao ila leo naomba nizungumzie hii huduma ya nmb mobile.Wizi walioweka ni wa kificho mno na uko hivi;
Mara tu unapopiga ile namba ya ya huduma(*150*66#)wanakata hela tsh 36.2 kama huduma haipatikani na hapo ni kwa sekunde 30.kama utajaribu tena maana yake utatumia dakika moja na kukatwa tsh 72.4 bila huduma.hivyo kwa siku ukijaribu kutumia huduma hii bila mafanikio kwa uchache wa mara 5 maana yake utakatwa 72.4*5=tsh362 mara siku tatu nilizojaribu bila mafanikio nimepoteza tsh 362*3=tsh 1086.
Je kama huduma hii itatumiwa na watu elfu kumi itakuwa ni 1086*10,000=tsh 10,860,000 kwa siku hizo tatu.
Kwanini wawe na makato kabla ya MUAMALA(TRANSACTION)?
Kwanini wasiweke mfumo kama wa mpesa,tigo na airtel money,kuliko huu wizi wanaotufanyia?
Ndg zangu na huduma za mabenki mengine ni kama hivi au ni usanii tu wa hawa nmb?
Chanzo mimi mwenyewe kama muathirika wa huduma hii,naomba kuwasilisha