Wizi huu Bandarini sasa hatari

thepresidar

Member
Joined
May 6, 2011
Posts
34
Reaction score
6
Ndugu wa JF hivi ni kweli kabisa hizi rushwa za hapa bandarini nazo mpaka wahusika waletewe majina au tuelewe wasimamiaji wa hizi sehemu nyete nanyi wezi?haiwezekani mtu anakudai hongo bila hata woga,mpaka walinzi wa mlangoni gate no 2 hatari tupu,Tanzanian tunajitia aibu watu wanakuja kuchukua magari yao bandarini utadhani wamekuja kuya nunua upya..mi binafsi na shangaa hivi hawa viongozi hawayajui haya?hata anaekupeleka kukuonyesha gari lako pia anataka hongo la sivyo utatembezwa hadi ukome,jana nambiwa siwezi toa gari kisa nimepakiza mzigo ya ndani tu kwa ajili ya matumizi nambiw mpaka nilipe $100 nikakataa mpaka saa saba nimerudi leo asubuhi watu wa shifti nyingine wana ni dai $300 ndo nitoke sasa najiuliza hii ni kodi na lipa au ni nini?hivi viongozi wa bandarini hawajui kama vijana wao ni wezi?Tuanatia aibu sana nchi hii
 
Ndugu yangu Tanzania sasa inanuka zaidi kuliko alivyoisikia Baba wa Taifa wakati wa uhai wake. Nakushauri [kwa bahati mbaya ninayo simu kwa sms pekee] Please try to message Mhe. waziri, Dr. Mwakyembe, and explain to him in short but in complete truth, I hope he will do something! Simu nr. 0782 24 25 26 Pole sana.
 
Hio ndio tz,may be 2015 changes will happen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…