hakuna shida
Member
- Dec 16, 2015
- 25
- 5
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA NISHATI NA MADINI
WIZARA YA NISHATI NA MADINI
Wizara ya Nishati na Madini, inawakaribisha Wadau mbalimbali wa umeme na Wananchi katika uwekaji wa jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa mtambo wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia wa Kinyerezi II unaotarajia kufanyika Jumatano tarehe 16 Machi, 2016.
Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. John Pombe Magufuli saa 3:00 asubuhi.
Wote mnakaribishwa;
Imetolewa na Wizara ya Nishati na Madini