Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,815
Hamna shaka kabisa na utendaji wa Waziri Nape Nnauye na Wizara yake ya Utamaduni, Wasanii na Michezo kwanza kwa jinsi anavyoimudu vizuri ndicho kinachopelekea kuona hatari yake kwa Taifa letu!
Kwa sasa hivi ukiangalia sana utaona ya kwamba watu wanaoangaliwa na watoto wadogo yaani watu ambao wanawavutia watoto wadogo na kupenda kuwa kama wao pindi wakuwapo ni hawa hawa Wasanii kama Wema, Diamond, Kiba, sijui Mtambalike au Mange, Jokate, le Mutuz & Co.!
Sasa hii ni hatari sana ilipaswa kazi anayoifanya Nape iwe kwenye mambo kama ya Elimu hasa Sayansi na Hisabati, hivyo ningependekeza kazi nzuri ya Nape ihamishiwe kwenye Elimu na hawa Bongo muvi sijui flava wasipewe air time hivyo kwani hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu!
Ikiwezekana kila Gazeti linaloandika Habari za kuvutia watoto kuhusu Elimu lipungziwe kiasi fulani cha kodi!