Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Katika karne hii ya Uhalifu wa kila aina duniani. Mavideo ya kigaidi yanakaa mtandaoni karibu mwaka mzima bila kufutwa kuna Mavideo mpaka sasa yapo kwenye ma account ya twitter bado hajafutwa. Yanahamasisha watoto wadogo kuwa magaidi. Na haijulikani walipo na nani alituma hii video mtandaoni na alipata wapi na nia ya kutuma ni nini! . Hawa magaidi ni watu walichanganyikiwa tehy can be smart than normal humanbeing ni washezi falani tu.
Hivi kitengo cha ICT mnafanya nini mpaka group linakuwa na mitandao? , Au mnaangali vyeti mnawapa kazi hawa watu? Kitengo cha ICT kinatakiwa kiwe na hackers waliyobobea na hackers wengi hata hawakusoma, wapo tu kazi yao kuiba information na wengine hata hawaajiriki wapo chini ya miaka 10 . Hao ndio wanaoweza kujua communication zote za waharifu. Muwatafute hao tena muwaajiri.
Hii mitandao ya kijamii mpaka mnaona video zinafutwa ni watu tu wanajitolea kufuta hizi videos mbayambaya bila malipo yoyote.
Mwaka jana Facebook ilifuta account 100 feki mbalimbali zilizopingana na utwala wakidemokrasia hapa Tanzania zikishinikiza utawala wa kiislam.
Mwaka huu You tube imefuta na kuzuia Video zaidi ya 40 zenye kutangaza ugaidi.
Nauliza hivi bado tunatumia ulinzi wa kizamani? Ni kitu cha kushangaza mpaka watu wanaenda kuchinja watu msikini bila ya kuwa na mtu hata mmoja ambae anafuatilia plans za kihalifu mtandaoni na kwenye simu kabla ya matukio, Mitaani na kwenye misitu. Watu wanakaa tu offisini au wanatembelea magari hebu tubadilike ambao hawawezi wakae pembeni.
Maana kutegemea mtandao wa TCRA badala ya kuwa na team ya wataalamu ambao wanakaa kila siku wanafuatilia nyendo za watu, Hasa wenye itikadi kalikali na wageni wanaoingia na kutoka tutakuwa tunasema kila siku Tanzania ni salama na kila siku watu wapata madhara.
Kuna shida sehemu hebu wanopaswa kutumbuliwa watumbuliwe haraka.
Ni maoni tu!
Msemo wa rais ni Tanzania tu...............