mk4
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 285
- 328
Jaman tumechoka sasa, hawa dawasco kawe wamekata bomba la maji hapa mbezi beach tang bovu kutokana kuchimba bomba jipya,cha ajubu ni wameshindwa kurudishia kipande cha bomba kama mita 5 ili maji yatoke,chakushangaz ni weacha ivyo kwa mwezi sasa bila kulekebisha bomba na kufanya wakazi wa ili eneo kukosa maji mwezi na sasa, kisasa wanataka wachina waonganishe wenye? Sasa nashangaa sisi tunatoa bill ya majina pamoja na service charge sasa iyo ela ya service charge inafanya kazi ipi kamma inashindwa kuonganisha kipande cha mita 5 mpaka sasa mwezi na kitu,wizara tubaomba msahada tumechoka sana na huu uzembe