wizara ya magufuri viongozi hatari tupu !! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wizara ya magufuri viongozi hatari tupu !!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by mwesiga_matelep, Sep 20, 2009.

 1. m

  mwesiga_matelep Member

  #1
  Sep 20, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  katika wizara ya magufuri kuna watu hatari sana, wanapenda rushwa hao! yaani ukibahatika ukapata ka oda kako baaday ya kusaply sasa ndio utajuta kuwajua, vitu watavitaka haraka sana lakini malipo ni baada ya miezi 10 au mwaka, kwa ujumla mainsha ya mtanzania mwenye kula mlo mmoja akifanya biashara na wizara hii ataweza kuishi? serikali inatoa mchango kwa watu ili iwatoe umasikini baadaye ukifanya biashra na serikali ndio inayokukopa harafu inatumia muda mrefu kukulipa, hivi wewe serikari watu wako unategemea wale wapi? mfano unasema tujishughulishe, tufanye biashara , tujipatie ajira, Je kama nimejishughuliza nikafanya biashara na wewe ukinikopa kwa muda wa miezi kumi nitaweza kulipa deni la benki ambalo umeniagiza nikope? je ka kibanda kangu nilikoombea mkopo kwa kuwaonyesha hiyo LPO yako watanivumilia au watanitupa mje niliwe na mbwa!!
  sijui Bwana Mkubwa Waziri Magufuri anajua kuwa waliomchagua wanateseka hivi, nenda pale wafanay biashara wanazunguka mle ndani kufuatilia malipo utafikiri wanafanay kazi pale kumbe la! cha kushangaza zile ela wanasema kuwa hawawezi kuzitoa kwa haraka kwani si kampaini inakaribia zinatafutwa mbinu ili zitumike lahaula! twafa! mpaka Magufuri achaguliwe tena ndio tutapata hela zetu jamaniii
   
Loading...