Wizara ya Fedha, si apewe Chenge tu

Wizara ya Fedha, si apewe Chenge tu

Sijui kama kuna mpango wa kumpa Makongoro uwaziri. Lakini hapo katika fedha hafai. Zimebakia wizara ngapi vile? Fedha,Ujenzi,Elimu na Utalii.Ujenzi ndio naona ingefaa kama kuna mpango wa kumpa uwaziri. Lakini lazima itakuwepo reshuffle baadaye suluhu ikipatikana Zanzibar. Lakini kwa hali zilivyo Zanzibar nadhani sasa hivi itafika manowari pale kuusuluhisha ile mgogoro.
 
Mtataja sana majina ya watu,lakini hii ni awamu ya kazi,mtabashiri sana mwaka huu,hapa kazi tu.
 
Mtataja sana majina ya watu,lakini hii ni awamu ya kazi,mtabashiri sana mwaka huu,hapa kazi tu.
Kwa kazi gani mbn ngoma bado!mzee wa lushoto na mzee wa msoga wamempiga pini masolex sahv, mwendo ni remote tuu

Ovaa
 
Na ataweza sana tu... ndio mtanyooka..!!🚶🚶🚶

Ndio maana tunataka apawe Joka la Makengeza, ili watanzania tuzidi kunyooka maana bado hatujakoma sindano za Msoga hazijatukolea.
 
Hapa nadhani prof ngowi wa mzumbe univ au prof lipumba
 
Sijui kama kuna mpango wa kumpa Makongoro uwaziri. Lakini hapo katika fedha hafai. Zimebakia wizara ngapi vile? Fedha,Ujenzi,Elimu na Utalii.Ujenzi ndio naona ingefaa kama kuna mpango wa kumpa uwaziri. Lakini lazima itakuwepo reshuffle baadaye suluhu ikipatikana Zanzibar. Lakini kwa hali zilivyo Zanzibar nadhani sasa hivi itafika manowari pale kuusuluhisha ile mgogoro.

Hafai ktk fedha kivipi!? Kwenye Elimu pia anaweza kutusaidia?
 
Yote ni sawa japo hayalingani asilani. Hizo wizara ikumbukwe tayari zina wenyewe na wenyewe wanajijua sana ndo maana wamehifadhiwa kwamuda ili waonekani special. Subirini muone, msiwe kama mwana halisi kubashiri mambo wakati majina yapo tayari yanasubiri kutajwatu. ccm ni ile ile na watu wake ni wale wale bana, Hakuna jipya hatttta kidogo.
 
Hizi wizara ni za wanaccm wanaokilinda chama na haitakua kama JPM anavyojaribu kutaka. Just wait and see what will really happen.
 
Pindi mtakapokosa kabisa mtu sahihi ndani ya chama basi msisite kumweka kutoka nje ya chama.

Demokrasia itakua imekomaa sana na itakua mfano wa kuigwa.
 
Hizi wizara ni za wanaccm wanaokilinda chama na haitakua kama JPM anavyojaribu kutaka. Just wait and see what will really happen.
Basi mafccm watampa nyoka mwenye makengeza
 
Ukweli utatuweka huru daima.
Haiwezekani kati ya wabunge 200+ akose hata mmoja wa kumpa hii wizara na hizo nyingine nyeti, hili llikua juu ya uwezo na kama hamwamini just wait and see whats next episode.
 
Back
Top Bottom