Wizara ya Fedha, si apewe Chenge tu

Wizara ya Fedha, si apewe Chenge tu

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
18,535
Reaction score
20,708
Jamani... teh..!!

Waswahili husema, UKIMJUA MCHAWI, MPE MTOTO WAKO AKULEE, na mm nasema, sbb Mtemi ni mtaalam wa kuziona sana fedha kwa mbaliiiiiiiiiiiii... kwa jicho la joka la makengeza, TUMPE TU WIZARA YA FEDHA, atabuni njia nyingi za kuongeza mapato...!!! 😂😂

Wee, mkabidhi bucha fisi...!!! Mbuzi kafia kwa mpika supu...!! Uone..!!

👉 🚶🚶🚶🏃🏃
 
Kweli kabisa, CCM inawenyewe na tumeipenda wenyewe Chenge waziri wa fedha.
 
Hahahaaaa! Dah! Hakika jamaa anaweza akaitengeneza nchi yake
 
We gain strength, and courage, and confidence by each experience in which really stop to look fear in the face. We must do that we think we can not.
 
Kama hiyo ndio sifa, basi naibu wake awe Ngereja
 
Jamani... teh..!!

Waswahili husema, UKIMJUA MCHAWI, MPE MTOTO WAKO AKULEE, na mm nasema, sbb Mtemi ni mtaalam wa kuziona sana fedha kwa mbaliiiiiiiiiiiii... kwa jicho la joka la makengeza, TUMPE TU WIZARA YA FEDHA, atabuni njia nyingi za kuongeza mapato...!!! 😂😂

Wee, mkabidhi bucha fisi...!!! Mbuzi kafia kwa mpika supu...!! Uone..!!

👉 🚶🚶🚶🏃🏃

Subiri watakopingia madarakani ukawa
 
Namuaini sana joka la makengeza.ccm ni ileile.

swissme
 
Apewe Naziri Karamagi ama Msabaha. Sijui wako wapi hawa? Hawa andikwi hata na magazeti ya udaku!!!?
 
Apewe tu huyu jamaa anajua kutafuta PESA atatuletea pesa kutoka nje na hivi sheria anaijua vizur tutafaidika
Hili JOKA linaweza kuchomoa Mihela hata WB na likapindisha sheria
 
jf jukwaa la umbea na majumgu na unafiki tangu harakati za uchaguzi zianze hadi leo bado tuuu
 
Back
Top Bottom