Wizara ya fedha, kwanini watumishi wa Serikali ni muda mrefu sasa hatupati salary slip?

NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
27,966
35,157
Natumai JF wote mu wazima,

Naomba ujumbe huu ufike Wizara ya Fedha. Hivi kuna nini mbona watumishi wa Serikali ni muda mrefu sasa hatupati "SALARY SLIP"??

Nawasilisha nikiwa nimechukia.
 
Natumai JF wote mu wazima.

Naomba ujumbe huu ufike Wizara ya Fedha. Hivi kuna nini mbona watumishi wa Serikali ni muda mrefu sasa hatupati "SALARY SLIP"???

Nawasilisha nikiwa nimechukia
kwa kweli hii ni haki ya kila mtumishi.. aweze kuwa na kumbukumbu zake.
linahitaji kufanyiwa kazi haraka
 
kwa kweli hii ni haki ya kila mtumishi.. aweze kuwa na kumbukumbu zake.
linahitaji kufanyiwa kazi haraka
Kwanza wangekuwa wastaarabu wangekuwa wanatoa hizo salary slip kabla ya mshahara husika ili mtumishi ajue mwezi huo atapata vijisenti kiasi gani?! wanakera sana.
 
Kwanza wangekuwa wastaarabu wangekuwa wanatoa hizo salary slip kabla ya mshahara husika ili mtumishi ajue mwezi huo atapata vijisenti kiasi gani?! wanakera sana.
ni kweli, watume hata kwa email. siku hizi teknilojia imekua,, ni kuingiza anuani za watumishi na kuwatumia
 
Mimi najua walisitisha kutoa kwa miezi kadhaa, tangu mwaka jana ila mwaka huu mwanzoni karibu zote walizitoa na zinaendelea kutolewa.
 
Mimi najua walisitisha kutoa kwa miezi kadhaa, tangu mwaka jana ila mwaka huu mwanzoni karibu zote walizitoa na zinaendelea kutolewa.
Labda wametoa kwa baadhi ya wizara na ofisi zao mie hapa kwetu hatujapata
 
Ingia website ya Utumishi. Jisajili na utaweza kuona salary slip yako itaprint na kuiwasilisha kwa mwajiri athibitishe kwa kuwekwa mhuri.!
 
Back
Top Bottom