Wizara ya Elimu mpo wapi?

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,290
Reaction score
5,769
Wapendwa wana Jf
nimekuwa naona jinsi wanafunzi wanavyo hangaika kupata fomu yenye maelekezo (joining instruction) mara wanapo chaguliwa,
swali langu ni;
serikali inashindwa nini kutengeneza website ndogo kwa shule hata kwa kuanzia na za kidato cha sita ambapo hayo maelekezo yatakuwa hapo?
kwa hii tekinologia watu wengi hata vijijini wanazo simu zenye uwezo wa kufungua.


mwisho: hakuna hata shule moja nimeweza kupata mawasiliano Kwenye mtandao...ukibahatisha namba ya simu huko hazifanyi kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…