P.Limdi Man
Member
- May 18, 2014
- 23
- 5
Suala ni kwamba kuhusu post za kidato cha nne 2013/2014 zinatoka lini mana mpaka sasa ni miezi mitatu tangu tumepata matokeo. kwa hiyo mwenye kujua naomba msaada nawasilisha wakuu!
Aseeee form four tulieni punguzeni upesi
miezi mitatu tu mnalalamika watu wanakaa miezi 7
ila kwa sasa hatusubiri ajira ila tunasubiri kwenda form five kwa hyo ndo mana tunasikitika sana mana ni bora waka2pa post il hata kama kuhama iwe rahc
Sema tu una hamu ya shule....haya basi subiri