Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 778
- 1,721
habari gani waungwana......
Inasikitisha na kuhuzunisha pale mambo yanayotakiwa yatolewe ufafanuzi na wizara ya elimu,,hivi sasa yanatolewa maelezo na wizara ya tamisemi...
Imekaaje waziri wa tamisemi anaongelea masuala ya elimu wakati waziri husika yupo..
nimemsikia ummmy akisema " watoto waende kuripoti shuleni hata kama hawana uniform "...sasa Mimi najiuliza huyu mama kawa msemaji wa wizara ya elimu?
Sasa hivi wizara ya elimu wamebaki kutunga mitihani na kutangaza matokeo basi!