tangu 2010..? Ulienda a'level nn ukadundaaa..! By the way keep praying utapataa! Wenzio tuliomaliza wote 2010 hiyo form 4 tunasubiri HESLB wafanye yao baada ya TCU kufanya yao.! So nimependa tokeo lako bt na mashakaa kidogo na huo muda uliopeteza hapo kati...!