bro mie pia ni muhanga wa hili swala sasa kwa wewe na wengine kama wewe ambao wanahitaji alternative ningewashauri kwa wanaotaka na wanaoweza kujiunga na chuo cha agriculture muhukuru fdc kipo njia ya tanzania-msumbiji,chuo hiki ni cha maendeleo ya jamii kipo chini ya wizara ya maendeleo ya jamii jinsia na watoto.kama upo tayari kujiunga weka email yako hapa ntakupa njia zitakazo kupa nafasi pale coz wameshafungua kile chuo pale.