Wizara ya afya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizara ya afya

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by DAVIES, Jan 27, 2012.

 1. D

  DAVIES JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 513
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Hivi wizara ya afya inampango wa kuajiri wahitimu wake au ndio changa la macho mwenye taarifa maana hadi sasa yametoka majina 1166 au ndio wanatosha hao
   
 2. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Msote sote kwanza street mbona walim walivumilia 2! so vumilieni 2 bana au sio.
   
 3. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  he he he jana waziri kasema wameajiri wale wote walioomba kazi....anyway kuna news zinasema majina mengine yatatoka.vuta subira mkuu
   
Loading...