prince hall Member Joined May 20, 2018 Posts 17 Reaction score 34 May 20, 2020 Thread starter #21 Nzuguni one said: Atakuwa wa upande wa pili huyu. Sio daktari maana drs ni wavumilivu sana Click to expand... Upande wa pili upi??? California love
Nzuguni one said: Atakuwa wa upande wa pili huyu. Sio daktari maana drs ni wavumilivu sana Click to expand... Upande wa pili upi??? California love
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,313 Reaction score 46,825 May 20, 2020 #22 Miezi mingine mlikuwa mnalipwa fresh?? Na je mmeambia chochote kuhusu kuextend muda wa kufanya internship??..maana graduate watachelewa kuja
Miezi mingine mlikuwa mnalipwa fresh?? Na je mmeambia chochote kuhusu kuextend muda wa kufanya internship??..maana graduate watachelewa kuja
prince hall Member Joined May 20, 2018 Posts 17 Reaction score 34 May 20, 2020 Thread starter #23 Darmian said: Miezi mingine mlikuwa mnalipwa fresh?? Na je mmeambia chochote kuhusu kuextend muda wa kufanya internship??..maana graduate watachelewa kuja Click to expand... Yaaah,kwakweli miezi mingine tulilipwa vizuri,kuhusu kuextend internship bado hatujapewa taarifa rasimi California love
Darmian said: Miezi mingine mlikuwa mnalipwa fresh?? Na je mmeambia chochote kuhusu kuextend muda wa kufanya internship??..maana graduate watachelewa kuja Click to expand... Yaaah,kwakweli miezi mingine tulilipwa vizuri,kuhusu kuextend internship bado hatujapewa taarifa rasimi California love
V Vitamin K Senior Member Joined Dec 2, 2017 Posts 158 Reaction score 168 May 20, 2020 #24 Pole sana mkuu. Kipindi cha bajeti/kuanza kwa mwaka wa fedha matatizo haya huwa yanatokea. Mwaka jana ilikuwa hivi hivi... Chapeni kazi..
Pole sana mkuu. Kipindi cha bajeti/kuanza kwa mwaka wa fedha matatizo haya huwa yanatokea. Mwaka jana ilikuwa hivi hivi... Chapeni kazi..
Tuttyfruity JF-Expert Member Joined Dec 3, 2017 Posts 2,414 Reaction score 6,394 May 20, 2020 #25 Kawaida hiyo. Vuteni subra tu. Mwezi wa 6 &7 wakati wa kubadilisha mwaka wa fedha ndo mtaisoma number vizuri . Upo muhimbili au mkoani? Swali muhimu hili usipuuze Sent From Galaxy S20 Ultra
Kawaida hiyo. Vuteni subra tu. Mwezi wa 6 &7 wakati wa kubadilisha mwaka wa fedha ndo mtaisoma number vizuri . Upo muhimbili au mkoani? Swali muhimu hili usipuuze Sent From Galaxy S20 Ultra
M Mandela90 Senior Member Joined Feb 12, 2017 Posts 193 Reaction score 170 May 20, 2020 #26 Interns msiwaze sana pesa, tieni bidii kujifunza mpate ujuzi wa kutosha.
prince hall Member Joined May 20, 2018 Posts 17 Reaction score 34 May 20, 2020 Thread starter #27 Mandela90 said: Interns msiwaze sana pesa, tieni bidii kujifunza mpate ujuzi wa kutosha. Click to expand... Aiseee,kwahiyo tutakuwa tunakula mawe? California love
Mandela90 said: Interns msiwaze sana pesa, tieni bidii kujifunza mpate ujuzi wa kutosha. Click to expand... Aiseee,kwahiyo tutakuwa tunakula mawe? California love