prince hall
Member
- May 20, 2018
- 17
- 34
Hapana ,mwezi uliopita boss ambayo ilitakiwa tulipwe mwezi huuPoleni sana, ni posho ya mwezi wa kwanza.?
Ni kweli boss, hospital zote za mkoani hatujalipwa ila Muhimbili na Mbeya wamelipwa na hospital zenyewe ili wizara ikilipa hospital pesa ibaki kwenye hospital, hospital hizi zimelipa kwa sababu Wana mapato makubwa ,lakini huku mikoani hospital haziwezi kulipaKama ni kweli, watakuwa hawawatendei haki.
Endeleeni kupaza sauti, kwenye facebook, instagram, whatsapp, na mitandao yote ya kijamii watawasikia tu.Ni kweli boss , hospital zote za mkoani hatujalipwa ila mhimbili na mbeya wamelipwa na hospital zenyewe ili wizara ikilipa hospital pesa ibaki kwenye hospital, hospital hizi zimelipa kwa sababu Wana mapato makubwa ,lakini huku mikoani hospital haziwezi kulipa
California love
Shukrani boss, kwa kweli inaumiza sana yaani unaingia job saa moja na nusu asubuhi unatoka saa 11 jioni halafu pesa haulipwi kwa muda,Endeleeni kupaza sauti, kwenye facebook, instagram, whatsapp, na mitandao yote ya kijamii watawasikia tu.
Hapana ,mwezi uliopita boss ambayo ilitakiwa tulipwe mwezi huu
California love
Miezi mingine tulikuwa tunapata kama kawaida labda kwa baadhi yetu wachache waliohamiaI mean ni posho ya kwanza au mlishawahi kupewa huko nyuma.?
Hahaa wakati kwenye barua ya wizara wameandika haikatwi kodiNakumbuka enzi zetu walitufanyia huo ujinga tukagoma, wakatupiga biti uchwara mara kuturejesha Wizarani na barua za mkwara... mara ooh ‘posho’ ni hisani tu inaweza kusitishwa au kukatwa kodi.
Ujinga mtupu na masimango, ndo muanze kuzoea hali ya huko utumwani.
Daa aisee tunakomaa kweli kweli,nyumbani wazee wanatutegemea na corona hii tabu kweli kweliNakumbuka enzi zetu walitufanyia huo ujinga tukagoma, wakatupiga biti uchwara mara kuturejesha Wizarani na barua za mkwara... mara ooh ‘posho’ ni hisani tu inaweza kusitishwa au kukatwa kodi.
Ujinga mtupu na masimango, ndo muanze kuzoea hali ya huko utumwani.
Una ID ya ummy mwalima tumtagPole Sana.
Wanakuja kushughilia malalamiko yako.
Thank youPole Sana.
Wanakuja kushughilia malalamiko yako.
Sina..ila naamini Kama yupo humu atakuwa ameliona au ataliona lalamiko lako.Una ID ya ummy mwalima tumtag?
California love
Poleni sanaTarehe 10 mwezi huu tulitegemea kupata malipo yetu ya mwezi uliopita lakini mpaka leo tarehe 20 bado hatujapata chochote,naomba mtukumbuke pia kwa sababu sisi ndio tupo karibu zaidi na wagonjwa,na tuna majukumu zaidi katika kutoa huduma sababu tupo Frontline,
Interns doctor,lab na pharmacist,tunaomba tulipwe kwa sababu tuna mahitaji pia,kama pesa hakuna Basi tupewe taarifa kuliko kukaa kimya ,
California love
Tutashukuru sana kaka,kwa maelezo niliyopata jioni hii,wizara ya afya bado haijapewa hela na BOT,kwahiyo tatizo lipo wizara ya fedhaPoleni sana
Busara uliyoonesha kwenye ombi lako (japo sio njia sahihi) kwa serikali hii sikivu mtalipwa.. Naamini humu wakufikisha washatimiza jukumu