Wizara ya afya na ustawi wa jamii!

Wana jf kuna dogo anauliza kwamba yeye kapata phy-c,bios-c,chem-c,math-d,na english-f, je anaweza kupata diploma?
 
Wana jf kuna dogo anauliza kwamba yeye kapata phy-c,bios-c,chem-c,math-d,na english-f, je anaweza kupata diploma?

Tamaa ipo sana mbona, masomo yanayomatter zaid ni bio, chen na phy, ayo math na eng yanaongeza advantage tu.
Lkn omba Mungu mana wizara haitabiriki, lkn mm bio nina D, yalobak yote C, nasubir majibu
 
Labda! Kwa maana somo hilo la English linatazamiwa sana katika hz college.
 
Akikosa lazima tuandamane kwa waziri wa afya maake lengo la wizara ni kwa aliyefaulu vizuri masomo ya sayansi
 
Akikosa lazima tuandamane kwa waziri wa afya maake lengo la wizara ni kwa aliyefaulu vizuri masomo ya sayansi
 
kwa hyo kama vyeti havijagongwa muhuri huwez chaguliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…