Wizara ya Afya: Hali ya dawa hospitalini ni mbaya sana

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,945
3,237
Ni ukweli kabisa hali za hospitali na vituo vya afya ni mbaya sana.

Wagonjwa wanapewa Asprini na Panadol hakuna dawa.

Jambo ambalo linanyamaziwa zaidi ni upungufu wa Madaktari.

Upungufu wa Madaktari ni tatizo tumezoea, tunapanda tu foleni.

Watu wana Bima ya taifa ya Afya, lakini eti wanaambiwa wakanunue dawa.

Hospitali hazina dawa.

Vituo vya afya havina dawa.
 
Haya ndiyo mambo wabunge wetu na viongozi wa upinzani wanapaswa kupaza sauti zao kwa nguvu zote sio kelele za vyeti huku watu wanakufa kwa kukosa dawa...
Mwenyezi Mungu itazame Tanzania yetu.
Viongozi wa upinzani na chama tawala tofauti yao ni maslahi tu hakuna mwenye upeo wa kuona na kujali mahitaji muhimu ya raia.
 
Tatizo wanaogopa "gusa unate" yaani ukasema tu fyoko fyoko utafafanua vizuri ulikotolea taarifa yako, ndo maana wengi wana amua "Kupiga kavu" hata kama hawaoni ,ila siku zote the wearer of the shoe is the one who knows exactly where do the shoe pinches.
 
Ni ukweli kabisa hali za hospitali na vituo vya afya ni mbaya sana.

Wagonjwa wanapewa Asprini na Panadol hakuna dawa.

Jambo ambalo linanyamaziwa zaidi ni upungufu wa Madaktari.

Upungufu wa Madaktari ni tatizo tumezoea, tunapanda tu foleni.

Watu wana Bima ya taifa ya Afya, lakini eti wanaambiwa wakanunue dawa.

Hospitali hazina dawa.

Vituo vya afya havina dawa.
kwa hiyo hii ni taarifa ya wizara ya afya au taarifa yako?
Nyie ndio mnaifanya Jf ionekane kichaka cha wazushi...
 
Haya ndiyo mambo wabunge wetu na viongozi wa upinzani wanapaswa kupaza sauti zao kwa nguvu zote sio kelele za vyeti huku watu wanakufa kwa kukosa dawa...
Mwenyezi Mungu itazame Tanzania yetu.
Viongozi wa upinzani na chama tawala tofauti yao ni maslahi tu hakuna mwenye upeo wa kuona na kujali mahitaji muhimu ya raia.
wewe acha uccm, waandamane ndo ujue wanasema.
 
Unaongea nini mkuu, unakumbuka wakati ule wa mgomo wa madaktari mpaka Ulimboka akataka kutolewa roho? Si kila siku ilikuwa kwamba wapinzani ndio wanachochoea huo mgomo? Ulijitokeza kuunga mkono maslahi ya madaktari pamoja na mazingira ya kufanyia kazi? Kama huna vyeti kaa kimya na sio kuwaambia watu kipi wapigie kelele wakati wakipiga kelele kuhusu kupatikana kwa dawa mnasema ni uchochezi.
 
wewe acha uccm, waandamane ndo ujue wanasema.
Sijui kama unaelewa kile nasema?
Humu mitandaoni takribani mwezi sasa tumeshuhudia nguvu kubwa ikitumika kutoa tuhuma na mapendekezo dhidi ya RC WA Dar....Kulikuwa maandamano kweli?
Au wadhani kupigania jambo hadi maandamano?
Kwanini nguvu hiyo isitumike kwa issue za kijamii zenye impact kubwa kama hizi?
Tafakari.....
 
Back
Top Bottom