Hii miradi wakisha zindua wakawasha taa kwa zile nyumba mbili au tatu zilizoko barabarani,wanapotea hao.ni miradi ambayo haitekelezwi kwa 100% .Bahati mbaya sijui kama Waziri anapotoka kufungua mradi kama anapata mrejesho kinachoendelea baada ya hapo
Kuna taarifa kila siku kwenye uzinduzi mwananchi asiuziwe nguzo,wire wala meter,saas ukitaka umeme uone kwa jirani yako basi fata maneno yako.