Registered_jf
JF-Expert Member
- Nov 27, 2024
- 920
- 1,454
Nitakuhonga figo nikupe na moyo,
Baby me na wivu we jifunze uchoyo,
Chuma nilipotoka nilikuwa loyal,
Yaliyonikuta mengi nimekoma,
Oya noma,
Mapenzi noma,
Oya noma,
Yalinipa kahoma.
Ni muda wa kuenjoy sasa,
huko nyuma yalininyanyasa,
Tumefungua mpya kurasa,
tuzae na watoto we sio tasa,
Oya!
WIVUUU!
View: https://youtu.be/0ZtH2wRhd90?si=PLUwBjIVWsAzfzt5
VIJANA WETU WAPEWE!....Airtime ya kutosha...
Baby me na wivu we jifunze uchoyo,
Chuma nilipotoka nilikuwa loyal,
Yaliyonikuta mengi nimekoma,
Oya noma,
Mapenzi noma,
Oya noma,
Yalinipa kahoma.
Ni muda wa kuenjoy sasa,
huko nyuma yalininyanyasa,
Tumefungua mpya kurasa,
tuzae na watoto we sio tasa,
Oya!
WIVUUU!
View: https://youtu.be/0ZtH2wRhd90?si=PLUwBjIVWsAzfzt5
VIJANA WETU WAPEWE!....Airtime ya kutosha...