Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,601
Kuna binti mmoja alikuwaga ni mteja wetu katika taasisi yetu pendwa ya huduma za afya.
Sasa akawa na tabia ya kuja mara kwa mara kwakuwa mwanawe alikuwa na tatizo fulani la alergy iliyokuwa inajirudia mara kwa mara.
Wambea wakawa wanamuona kila siku jioni akitoka anakuja direct kwangu kwaajili ya huduma tu na wala sijuwahi kumfikiria in sexual arena zaidi ya huduma tu.
Kumbe kwake alikuwa na ugomvi mkubwa sana na mumewe na ni binti mdogo tu ana 25 sema kawahi maisha tu yani kumbe yeye na mumewe wana week hawaelewani kisa wivu wa mapenzi sasa mumewe akawa anafatilia amjue mwanaume anayempa jeuri mkewe.
Anaambiwa ni Mtembezi anamla mkeo kila siku jioni mkeo akitoka kazini anapitia ofisini kwake kuchukua hela.
Jamaa ni mstaarabu sana akapima kina cha maji akaona face to face sio busara akamtuma swaiba yangu ambaye kumbe anafahamiana naye " Mwambie Mtetezi aachane na mke wangu tusitafutane ubaya".
Nilipofikishiwa ujumbe nikashangaa sana coz huwa mimi sichanganyi mapenzi na kazi hata siku moja na hata huyo binti nilikuwa sijamkariri coz nilimcgukulia kama client mwingine tu na siwezi kuwakariri wote.
Kesho jioni akaingia ofisini binti mrembo sana huku anacheka nikamuuliza " Mbona unacheka au unanicheka" akasema eti "nimefurahi tu kukuona!
Ebhana Mungu si asumani muda ule ule yule swaiba yangu akaingia akaniambia "Mtetezi ulikuwa unajifanya humjui mwanamke uliyepewa tuhuma juu yake ndio huyo, huwezi kuamini yule binti aliangua kicheko hatari nisielewe anacheka nini!
Basi yule swaiba akapita nikamuuliza kuwa kwanini mumeo ameamua kunichafua namna hiyo ofisi nzima wanajua huo upuuzi !
Akasema "achana naye nishamzoea ni mwanaume wa ajabu kila mwanaume ninayoongea naye ni mwanaume wangu " ila sio siri jamaa ana haki ya wivu yani mtoto ni mali hatari na nyuma mzigo wa wastani ila upo aisee!
Nikamwambia sasa hivyo mnaishi vipi jamani akasema " We acha tu now kila mtu anaishi chumba chake " Nikamchombeza sasa ndio ndoa gani akasema ndio hivyo kuvumiliana tu.
Nikamwambia sasa zikipanda unafanyaje akasema "maji ya vugu vugu yanatosha" nikacheka na kumwambia yani urembo huo ujichue na marijali kibao tupo.
Akasema "hapo tu hujala umeshazua zogo ukinikula si utakatwa na mapanga" huku akicheka ahahaaa nikamwambia niachie number zako yeye si amemwaga mboga mimi ninamwaga ugali akaanza kuhema kwa speed nikajua tu hapa imo na ukiona umemgusia mwanamke akaanza kuhema kwa kasi kuna mawili 1/ Ana hamu ya muda mrefu 2/Au anavutiwa sana na ww kimapenzi. Usilaze damu kesho ataamka na wazo jipya maliza siku hiyo hiyo.
Nikamruhusu kwenda kwake akamwone mwanae aweke mazingira sawa ya kutoka mida hiyo ilikuwa saa11 jioni unaambiwa baada ya pale nikaanza kumchombeza kwa messege za mahaba ambazo ninajua mumewe hampi kutokana na ugomvi wao.
Mume anarudj job saa4 usiku mimi nikahakikisha saa12 ameshafika eneo la tukio ili nimtafume fasta arudi kwake kabla mumewe hajarudi , Ebhana she was very horn and eager to sex kiasi kwamba kugusa tu imo and she's very sweety.
Nikapiga viwili vya fasta nikamwacha akarudi kwake huku nikijisemea mambo kadhaa moyoni
1, Kumbe ukimuuzi mkeo anaweza kufanya lolote na yeyote
2, Wanaume tupunguze wivu kwa wake zetu
3, Wanawake kutoa nje sio kuwakomoa waume zenu
4, Wanaume tusioe wanawake wazuri sana type za kina Irine Uwoya
5, Ukimwi upo tuendelee kuchukua tahadhari.
Povu ruksa.