Wivu wa mchepuko unataka kunitoa roho

Asipoumia huyo mama,soon utaumia wewe katika ndoa yako
 
Lady JD aliimba 'wanaume kama mabinti'
 
Pole sana mkuu
 
Ww ni mwanaume, siku nyingine uwe unafikiria mbele itakuaje, ona pesa za bure zinakutesa saivi.

Mpige chini mchepuko baki na mkeo.
Na hiyo tabia mbaya ya kumcheat mkeo kisa kakuzalia ni uzuzu.
erca
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…