Wivu wa mchepuko unataka kunitoa roho

🎵🎶Wanaume kama mabinntiiiii 🎶🎶🎶
Dume zima unagopa kukosa msaada wa pesa ya mwisho wa mwezi toka kwa bibi ajuza.Acha Upambavu huo na kuhatatisha maisha yako pamoja na ya familia.
Yan vi hela vya nauli tena toka kwa mwanamke ndio vimekufungia kwenhe cage hiyo ya umalaya na mama mtu mzima??
Very strange vijana wa now days
 
mwongeze makwenzi
 
Sikia wewe fadhila sio lazima zilipwe mbona Harmonizer kagoma kulipa fadhila na anamvimbia Dimondi🐒
 
Ukishaona dalili za kupenda kupitiliza, anza kusepa fasta! Mchepuko unabaki hivyo, usiupe nafasi ya mke..shauri yako!
 
Mpe talaka mke wako umuoe huyo bibi
 
Mkuu mbona umenifokea ivi kama wewe ndo baba mzazi

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wa sikuhizi mnapenda kitonga na huyo sio kwamba unampenda vile anakuhonga na hapo siunadate na mtu anayekuzaa kama ana mjukuu juu. Vijana hamna aibu aisee, kwanza unalipiwaje guest
 
Fumbaf sako.
Nikionaga mwanaume analilia pesa ya mwanamke nakuona kama shoga flani.
 
Duh sasa hapa patamu mzeya....sasa fanya hivi nipe mie nikamgegede atakusahau bila shaka.
 
Wanaume wa sikuhizi mnapenda kitonga na huyo sio kwamba unampenda vile anakuhonga na hapo siunadate na mtu anayekuzaa kama ana mjukuu juu. Vijana hamna aibu aisee, kwanza unalipiwaje guest
Ah wee lilia bahati bwana ndio bahati yake wacha alelewe kuna raha yake
 
Acha ndoa yake ife kisa kuhongwa, sipendi mitoto ya kiume ilelewe ni hatari kwa taifa
hatari kivipi tena wakati hii inakuwa nzuri kwa upande wenu wanawake ambao kadri miaka invyoenda mnataka kuwa na power. sasa huoni hapo kuwa mchepuko anapata power?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…