Not really!....for resitance
Jealousy......Wnating an object for one self which belongs to ohters....Avoid jealousy and envy....try to feel joyful for others happynessy...create much good karma...if the mind is jealous youw ill feek very uncomfortable toward others...like your carying a heavy loads iny our mind.....
Laziness.....Being attached to temporary pleasure...Not wanting to do virtue or only little oppisite to deligence...This consists of hangind out all day doing nothing or gossiping with friends about other people...
Shem
Unapoint sana wewe mtoto wa kike, kwa kweli wenye chuki wacha tu wajinyonge tu.
Wadau jamaa yangu wa karibu kaniomba ushauri: Anasema memsahib wake ana wivu wa kupindukia,kafikia hatua sasa majuzi kachukua wembe katoboa toboa kufuli zote za mzee kisa eti eti aone aibu kwenda kwa vimwana na kufuli zenye matobo,na kamwambia ole wake azishone au kununua mpya. Kana kwamba hiyo haitoshi kila akirudi si ruksa kusalula bafuni shurti achojoe chumbani mbele ya bi mkubwa na inuswe kama ina harufu yoyote ya kifisadi!Wadau muungwana kaniomba ushauri nimwambie nini?
Makubwa madogo yana nafuu......... ya kutoboa tena si ndo wampa nafasi ya kuhudumiwa vyema na small house? akimaliza anaziacha huko huko. Miwivu mingine bana
Aongeze mapigo, kama sasa hivi anampa moja, mbili a-double
...............AKITHUBUTU KWANGU,she will go home tomorrow morning!no eksichuuz
Makubwa madogo yana nafuu......... ya kutoboa tena si ndo wampa nafasi ya kuhudumiwa vyema na small house? akimaliza anaziacha huko huko. Miwivu mingine bana