Wivu umeniponza

Kama umefanya yote hayo na hauna nyumba yako unamiliki.. jipige vibao vya usoni ulie.
 
Wewe ndio ulimpenda , yeye hakukupenda hata kidogo, wala usijilaumu kwamba wivu wako ndio umesababisha uachwe, kwa wanaoelewa mapenzi , wivu nao ni moja ya kupendana na anaye dhamini upendo wako hawezi sema una wivu, chakufanya sasa tafuta pesa jenga maisha yako tu na usijisumbue kabisa juu ya huyo bidada, kwani kwakufanya hivyo utazidi kuumia zaidi ya sasa
 
Katika maisha yako usije oa mwanamke aliyeachika kwa mme, take my words.
 
Hivi mnaanzaje kuyumbishwa na wanawake na mna hela mifukoni
 
Unaonekana upo so caring kiasi kwamba umemkinaisha huyo mwanamke wako..All in all chagua moja kupiga kipara au kusuka rasta
 
Duh mwanamke anakupelekesha kama gari bovu hiyo hatari kabisa
 


KATIKA WATU WENYE WIVU WEWE SI MMOJA WAPO, NILITEGEMEA KUSIKIA UMEMPIGA SABABU YA WIVU ETC, HAYO MASWALI ULIYOMUULIZA KILA MWANAMKE ANAPASWA KUYAJIBU. HAJAWAHI KUKUPENDA HUYO, SHIDA ZAKE ZILIKUA ZAMFANYA MVUMILIVU, ILA WEWE UNA MPENDA.

UMESEMA HALI YAKE YA FEDHA KWA SASA SI NZURI, OKAY, OKAY, NI RAHISI SANA, YEYE NDO KAKUMALIZA HUYO NA SASA HANA MDA NA WEWE, WORK UP AND MOVE, ACHANA NA HUYO MALAYA KABISA ... WANAWAKE WAPO WENGI WAUNGWANA, ILA USIBEBE GHARAMA MPAKA UMEFIKA MAHALI.

ELEWA: MTU MWENYE MTOTO? NI CHANGAMOTO.
 
Mkuu we kausha mwache aruke na huyo jamaa we kausha usimjibu mbovu..,nakuhakikishia lazima arudi mwenyew tena kwa Magoti na Vilio We kuwa mpole kwa kipindi hiki atakufata mwenyew tu

Akishamtafuta? amrudie au?
 
Bro mbona hapo hakuna njiapanda yoyote, wewe mwanaume bana jikaze,ashakwambia kula kona,tena kabisa futa namba endelea na maisha.Pain is inevitable but suffering is an option,so dont opt to suffer
 
Watu mna moyo sana kuhudumia familia isiyo yako, ww unahisi aliyemzalisha akamuacha ni mjinga? Single mum ni watu hatari kuliko bomu la nyukilia
 
Uchumi haujayumba......bali huyo dada anekuchuna mpaka umeishiwa.
Uchumi kuyumba maana yake kama una biashara bei za bidhaa zimeshuka au wateja wamepungua.
Lakini wewe hela yako imechukuliwa na huyo bidada kama ulivyoeleza kuwa unamgharamia kila kitu na haujatuambia kama na yeye biashara yake uliyompa yenye mtaji wa TZS 4.5 milioni imeshuka?
Yaani kwanza unavyojieleza unaonekana ni dhaifu wa kununua penzi kwa huyo dada.
Aliyekwambia wanawake ukiwa handle kidemokrasia ukawaweza ni nani? Bila ubabe hao hutowaweza mpaka utaingia kaburini..........
Kwa heriiiii......
 
Umeshatapeliwa n.a. matapeli wa mapenzi kimbia uaiangalie nyuma utakufa masikini wewe!
 
Bro nakuomba tena sana sana. Sikujui hunijui ila Brock namba yake kabisa maana kakuokoa na mabaya mengi kama kupigwa, kuuwawa na kuendelea kuwa kitega uchumi chake. Songa mbele mkuu na kwa majibu hayo laiti kama angenifanyia mimi ningechange hata laini kabisaa.


Namchukia mtu mwenye dharau huku akijua mimi ndo nimemweka mjini. By then wivu ni part and parcel ya upendo
 
Lakini pia kuwa na jimama nalo tatizo. Hivi hukujiuliza kwa nn kazalishwa tu bila kuolewa? Mimi kiukweli mdada akiwa na mtoto huwa namwogopa kumtongoza maana huwa na maswali lukuki juu yake japo sio wote ndo wanakasoro
 
Hivi Lowasa alisema kipaumbele ni ELIMU ELIMU ELIMU sasa naomba bro kipaumbele chako kiwe Epuka UKIMWI epuka UKIMWI epuka UKIMWI. Ngoja niwahi kwa kaisari
 
Kaka, mapenzi yanatabia mbaya sana asee unawezakua kipofu
Naelewa sana ila mpaka hatua hiyo kila jambo lipo wazi tatizo kwa sisi binadamu kuukubali ukweli na kuwa huru hilo ni tatizo kubwa ukweli huwa unasimama wenyewe basi kwa gharama yoyote tuununue vinginevyo tutakuwa watumwa. Hakuna kitu kibaya kama mtu unajitoa kwa hali na mali mwisho wa siku kumbe mwenzio alipenda kipato na si mahaba kesha bado umo tu hapana jamaa inabidi achukue maamuzi magumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…