Wivu ukizidi akili na busara hupungua

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
Wivu ukizidi akili na busara hupungua
Mzee baada yakufika home after work kachoka akamkuta Mkewe kanuna

Baba: Una tatizo ganii mama?

Mke: Mme wangu kwa kweli tokea upate hii ajira mpya nakosa amani, Nilikua nakupenda sana lakn nashindwa kuvumilia. Naomba unieleze ni nani anaitwa Alarm anapigaa simu kila siku alfajiri tu na ww unaikata haraka ili nisiskie maongez yenu?

Kama ndo weweee unamjibu nini hapooo??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom