wivu sina ila roho inauma

ni kweli huyu binti ni mkarim sana ananijali na anawajali sana hata rafiki zangu. nami namjali na ninawajali shemeji zangu wote aliyo nitambulisha. pia huwa napata amani na furaha saana akiwa anafurahi, huwa napenda afurahi muda wote, tunasaidiana kwa mengi, hata akiwa amekosana na bwana ake huwa tunashauriana jinsi ya kusolve tatizo. sikuwa na wivu wowote hapo awali hatakama najua kuwa yuko anafanya mapenzi na mtu yoyote yule, kinacho nishangaza ni huyu mpya du roho inauma utadhani ni mpenzi wangu.
unajua nn kijana umezama ingawa hutak kukubali kuwa umezana unasumbuliwa na conflict of interest kaka.
 
Mwambie ukweli. Maan adalili zote ni za kumpenda. Vinginevyo ni stori ya kesi ya jamvi
 
Back
Top Bottom